
By Palma wa Vasho
Karibu kenya place yenye tulifightia uhuru na prezo wa
tatu akakuwa anaitwa uhuru,
Mamangu ndo shujaa wangu,
Najua the best gift God alinipewa ni wewe mama,
Ukanibeba na hii bumb yenye kila mtu anaogopa,
Hata nikiwa kwa Tension wewe ndio hunipea attention,
Mia kwa mia mm nisha kukwamia,
Your beauty scale nakupea 10 over 10,
haujawai kubali Nilale njaa heri unipikie njugu
karanga saa tisa ya usiku,
Mama wewe ni shujaa wangu