Spoken Word

Maendeleo

By Palma wa Vasho

My son the World is so Bitter,

Bitter Than Lemon the government I say is so bitter,

But wait who elected those bitter monsters,

Who are so so bitter than Kienyeji herbs,

Walituambia tuwachague wataleta maendeleo,

Lakini hao, hao pekee ndio Wanaendelea,

Mambo ni Mambo leo,

Mheshimiwa anaanikwa Hadi kwa Taifa leo,

Lakini hata hajali ya Kesho yeye anajali tu ya leo,

Viongozi Leteni maendeleo sisi Tumechoka na maendeleo.

 

 

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *