Spoken Word

LIGHTS OFF

By Daniel the Poet

Months ago watu wa airport ward walipata chance kuaddress issues zao
But unfortunately many days later bado wako palepale,
Effect ya kukosa street lights haiko felt tu kwa streets but pia kwa future yao
So next time before uwaambie the future is bright
Think twice juu hizi demands wametaja zaidi ya thrice
But here is the reality,
Kuna duru za kuaminika zinasema ni kweli instalation ilifanyika but kuna youths flani waliplay part
kungoa hizi lights.
The reason being kuna scrap dealer flani aliwapea kandarasi ya kumsupply na copper
Na the easiest place wangeipata ni after kuharibu street lights.
All this for what…? I guess ili mavijana wapate za “kabej”
Amini nikikuambia they got bills to pay na one of the bills ni kuregesha dooh walikopa.
So after lights kungolewa,
Every night kuna nduru tunaskia
Na siezy karibia niconfirm ni nani analia
Security ni shida conclusion ni nduru naskia ni mwizi anaibia.
So ironical community iko na some names ya wanao haribu na kuiba lights but majina hawaezi tutajia
maanake wana biashara zao ndogo wanaweza ziweka at risk ama incase wataje maJina wanaeza
fuatwa kwao wavamiwe succesfully juu kuna vitu tatu zingewalinda lakini hawana
Umbwa kali, gate kubwa na electric fence.
Its high time demands za wakaazi zimfikie ward admin before watu wa airport ward wapelekwe ICU
Its high time responible leaders walete hopes airport ward ndio zile issues zinafanya wakaazi wakuwe
bedridden kwa ward zikuwe adressed,
Na yule kijana aliahidiwa ajira apewe
That’s the only way watu wa airport ward wanaeza sema theres light in the dark tunnel.

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

NEVER GIVE UP

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *