This is special to you from your lovely dad
Najua nimekungoja sooo bad
NI furaha Tu
Ila kuna few things nikujuze
Najua ukifika utakua na maswali mengi uniulize
Ila hii ni lesson tu kuhusu culture
Usiitreat kaa ni lecture
Labda siku utakuja utabata kuna vitu haziko
Vile saa zamani tulikua tukijivunia nazo
Change is inevitable
But this is heritage
That helps shape a collective sense of peace,
justice and solidarity that is needed to stem conflicts and build peaceful societies.
Talk of our dress codes, kuvaa kikoi na our beautiful ladies on mahando
Unaeza pata things zimechange adi hutaeza kuzihando
Many social ways utapata zimesahaulika kaa msando
But I’m sure you’ll grab this later na upendo
Uwaonyeshe how our beautiful culture was..
Tukikalishwa around the fire every evening tukifunzwa about mashujaa na other stories
Vile mekatili wa menza is well know heroin, the likes of wanje wa mwadorika and tales of the famous Kaya fungo
This is mijikenda, giriama chonyi and the rest
Bragging about how our culture is the best
But sio huku tu
Utafika central huko upatane na wakikuyu beautiful wakicheza mugithi, the kamba, huezi sahau Luo na maasai
With their beautiful shukas wakiruka up and down
Inapendeza tu