By Daniel the Poet
Let me take you back,
back to the days Valine Seshia alituambia karibu kenya
Let me take you back,
Back to the days King Kaka alirelease Wajinga Nyinyi
So unfortunate hamuogopi yule Mungu mnaquote kwa scriptures
Let me take you back
Back to the days Palma wa Vasho alitukaribisha gheto atuonyeshe struggles za mtaa
Let me take you back,
Back to the days Morgan Mojji alituonyesha vile mapoliticians waliturushia limes wakabaki an oranges
Let me take you back,
Back to the days gava ilikua inadistribute machapo wakati wa campaign
Let me take you back
Back to the days mlipanga foleni mkipewa noti za fifty hoping your days ahead zitakua fity
Let me take you back
Back to the days our four-fathers walipigania uhuru ili kizazi next kikuwe free from slavery
The irony ya kukaribishwa kenya na Seshia The Poet
Yet wakenya wengi wanamanifest Kwaheri Kenya
Mtajiteteaje leo King Kaka akiwaita wajinga nyinyi yet vitu mlikua warned about ndio leo zinawachinja
Mnashangaa mbona Oh God of all creation sikuizi hatubless
Kumbe ni vile mnaendeleza siasa duni makanisani
Mlikataa kuskiza Palma wa Vasho alipowaonyesha struggles za mtaa
But atleast prophecy ya Sauti Sol sisi kuwa pabaya leo kuliko jana imetimia
Unashangaa skuizi wakenya wengi wanishi na uchungu
Maybe each is having a bite of the lime Morgan Mojji alisema tulipewa
Na ili ikue funzo nataka mplay hii piece on repeat mode maanake sanaa ni kioo cha jamii