Spoken Word

KUZAMA TUKITAZAMA

KUZAMA TUKITAZAMA

Najua Mimi si zuchu but nafeel kama Nina kwikwikwi Na msiseme ati am craving for someone na sijui
Zi , I bet ni Hali ya uchumi kutukunjia ngumi
I wish tungekua tumecheza safe

Tukajisundia kitu Kwa safe
Juu Kwa sasa Hali si safi
Na hata kama hapa si bongo
I feel itabidii tutumie u-bongo
Maisha yamekua mazito ata Kwa waliounga Na sasa kila mtu analia ati bei ya unga

Kila kitu kimerunda na vile promises za UDA
Ati hali wataunda tumezingoja tukiwa rada
Ona vile economy inatuunda
It’s so sad kuona wanaoteseka ni wasio na ganji Hali si Hali tena , mwananchi mwenye nchi Ashageuka mwenye dhiki aiii!!

Walisema education is the key to success
But si barabara zenyewe zimejaa potholes
Na ndio maana kuna alot of unemployment
Interestingly wale over qualified ndio wanauza mitumba Kwa streets

Shesia The Poet

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *