Spoken Word

KOTI NA KOTI

By Campos world.

Another day you're honour..Crystal clear unaona ……Na present kesi….Ya mtu nje amapaki benzi
Kwa hii koti wao ndio hudungia makoti
Mmmh wanatuonea si wao ndio hukula makaroti
Kututumia Sisi kama pivoti
Wakituita madebe tupu na Kwa Debe Sisi ndio tulivoti
Uyu amekula Mali ya umma maguta maguta amejaza maplot
Eti ameintroducia vijana aviator akiwaita mapailoti
Ukifika huko utasikia Eti ni taptengelei
Ubadhirifu wa fedha, utumizi mbaya wa mamlaka….Eeee maaasalale
Mnajua anakula pesa ngapi Kwa salary
Last time alisema mtoe kakitu ndio mpate bursary
Your houner hii ni hatari,,,,,Dawa za kulevya za yeye ndio kingpin
Ni mawingu Tu Kwa mtaa, watoto wetu amewabadilisha pedi….Ujana ni moshi eti…
Mshatika hope atakubali mashtaka
Naamini bila hiyana ushahidi utaletwa ni bayana na wa kutosha…
Forget about hizi maneno zake za kipyoro za kupotosha..
Acha nilete Shahidi yes Ushahidi utafafanua vilivyo
Vile mwananchi daily ni kilio…..Ameshindwa kutengeneza barabara
Things haziezi kua baraabaraa
Licha ya kutokua na dawati…..Amefyonza ata pesa ya maabara
This is infectious your honour ….Ameleta maadhara
Last time alihire goons yee ni murderer
Sisi tumechoka, Mimi nimechoka,wewe umechoka, kila mtu amechoka
So uamuzi ni wako

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

I PRAY FOR YOU

Spoken Word

LIGHTS OFF

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *