By Maina Meryer
Life imekuwa mchezo ya pata potea
Ni tricky kusurvive kwa hii economy ju gava tax wameongeza
Kazi hakuna, na job ya makanjo ni kuarrest madem wanauza kuma
Aliomoka ju alijituma
Kushanda maboys wameifanya ikakuwa hobby, ju blue boys daily 6feet vijana wanawatuma
Sir Jah tujibie maombi
Vijana wakienda hustle warudi safe in the morning
Viongozi wana sugar-coat uwongo hadi ukweli hatuoni
I think nikona disability ya macho ju pesa sioni
Bila kitu kwa stomach, sina nguvu ya kusukuma wiki
Floods imetuacha tukiwa busy
Ilienda na uhai ikatuachia maiti
Gava imetupatia kidogo, raia ihandle their responsibility
After 5 years, hii ni mchezo wa kuigiza
Kazi wanaclaim walifanya for 5years, for ½ a day kipofa anaeza ifanya kwa giza
Kupata change ni miujiza,
Kupata uhuru ni sisi, mimi na wewe tuipinganie.