Spoken Word

Innocent Mama Jane

By Poet Dee Olach

Eloi am here lost son and dear just wanted to ask for forgiveness kwanza Kabla Sijaongea…

Nakumbuka jirani mwangi na bibi akimsema namkuta maskini mama jane thou haikuwa my intention but ilihappen by mistake.

Baba jane hasira imempanda ni becoz mama jane ameitisha pesa ya food na pesa baba jane ameibetia na i still remember its late there.

Mama Jane chenye kilimtendekea ata nilishindwa kuelezea

Baba Jane na hasira kuamkia mama jane na mateke na mangumi jane akilia na l couldn’t withstand it nilingilia….Baba jane alichukua kisu I thought ilikuwa a small issue ningesolve but baba jane aliniambia its none of my issues so… 

Baba jane na Kisu but Eloi Sijui venye nilingia too Maskini mama jane alidungwa tumbo na l still wish ningekuwa faster ni stop this before.. 

Mama Jane bleeding kwa floor na alikuwa anashout na sai simskii no more-.So silent baba jane filled with blood ya innocent mana jane

machozi inamlenga anasema haikuwa yeye alikuwa Shetani nitakubalije na mama jane is no more Nilishindwa niseme all truth mbele court nilive forever in jail ama nimezee tuu story nimaintain but how hayupo am sorry I cannot take it anymore.. 

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *