Spoken Word

Inner Ability

 

 

Greatness Requires Internal Resistance,

But I feel their inner resistance can’t withstand

The external resistance they face.

This could not be seen from their face,

But zile vitu Hawa watu hupitia to many may cause a tear,and they are not ready to talk about it because of fear.

Enough of Disability is not Inability
Cause hii kitu nyinyi huisema only for fun,
Kila mtu huzaliwa na inner ability but sijui mbona
We mistake their ability from physical appearance calling it inability. Tabia zetu zinaonyesha vile hatujali
Na visu za kukata ndoto zao ni Kali tumebeba.

Mtaitaje “special Needs” na mnawatreat walast
Uko hapo na huwezi wasaidia mbona tusikuite Disable.
Ni mara ngapi tumeona wale hawana mikono wakishika vitu wanafunzwa, Anaeza kuwa kiziwi but ukimtenga si anaskia vibaya,
Maybe ni kipofu lakini akilini ako na ndoto anadai kuiona ikitimia,
Haezi simama kwa miguu but mbona tumketishe akidai kusimamia haki yake.

Uchungu ya mkristo kupita begger lakini injili ni kushikana bega kwa bega, Listen maybe bega kwa bega mnaimistake,
Hii ni uchungu inafanya kipofu aone shida familia yake inapitia,
Hizi changamoto zinafanya kiziwi askie vibaya akitengwa,

Hii hali inatoa kiwete kwa wheelchair asimamie haki yake.

Kwa scripture wanasema no weapon set against you shall prosper,my sister naona ndoto Yako inakufikisha far,

My brother that door unaona imefungwa next time utabisha na itafunguliwa……

AnotherOneFrom DanieThePoet.

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *