Skiza,
Dear Mum sikutaka dunia inifunze coz i knew you were the best teacher,
At sometime ukanifunza ku-forgive coz ningekasirika haraka ningepiga dunia teke
Kisha nije kuteketea,
Nilipokosa food ukanipea tumatumbo ndio nisiwahi kosa matumaini,
Ukaniwekea sukari mob kwa chai ndo baadaye nikiwa mkubwa nisiwaende sugarmmumys,
Ukanifunza kuwa neat hadi kunyoa nywele kichwani,ndio nikagundua akili ni mali,
Ukanifunza nikajua tofauti ya wasichana na bitches juu ya vile wameUmbwa,
That why nikiomoka nitakupeleka huko Mombasa bitches tukapige sherehe,
Ukanifunza kukata kiu na maji instead of kukata maji juu ya kiu,
That why hata wakisema
Naringa,nitawashow am
Proud of you
MUM 🙏🙏
Palma wa Vasho