Spoken Word

I PRAY FOR YOU

By Campos world

Corruption, corruption,
Najua tunaishi Kwa corrupt nation
Yenye generation ya full vision na ambition
Mliona, Mliona vile gen z wali occupy Afya house
Corruption ni kaa chuma na kutu
Hii ni imekua crisis, Tuna cry sisi
Watu wake ndio wanapewa job ju wana connection
Sio ka sisi ,Maombi tumefanya adi kutoa sadaka kwa kaa sisi
But no changes, Change inaanza na Mimi na wewe
Acha huu ukae wimbo uliobora
Wimbo wenye, utafamaliza corruption
Wimbo wenye, utamaliza fraud
Wimbo wenye, utaleta light Kwa hiyo dark tunnel
Wimbo wenye, utaleta hope Kwa Yule mwenye amegonjeka na Hana medication
Wimbo wenye, utaleta hope kwa yule doc hajapewa job
I pray for you, If you hearing my voice
I pray for you, Yeah, I pray for you
Yeah listen, I pray for you
I pray for you mother who's hopeless can't afford medication for your son
I pray for you father, mwenye uliambiwa dawa hakuna
I pray for Brother, sister mwenye hujapata internship ju huna connection
I pray for you my pregnant wife who's getting no support kwa hiyo labour ju sipeana kakitu
I pray for you dear friend mwenye uko ICU , yea Nikifunga macho ICU
I pray for you

Related posts
Spoken Word

Tomorrow

Spoken Word

Tumlinde Punda

Spoken Word

LIGHTS OFF

Spoken Word

NEVER GIVE UP

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *