Spoken Word

Huduma Day

By Shesia the Poet

Waliokaa wakachora ramani walijua Kenya Ni nchi ya thamani

Nia yao ilikuwa tusahau ukoloni Wa zamani walitaka nothing but amani

The National flag ilimaliza yote

so tusikubali ukabila utuvuruge

Mimi na wewe ni figure ya humanity

Leo nimekam kwa wema tuongee kama watu wazima

Nataka mkumbuke yote tunayapitia Ni mlima hakuna perfect zaidi ya God

Kenya kuna Gold ,si imezalisha Coast !? Fort Jesus imetuletea zile pillars

Alikuja na akatulia Vasco da Gama kila aingiaye aisee anakwama

Look at the map and forget the gap

Look at the map and see how far we came as a nation aside with the teargas

aside with the Shaurimoyo commandments

the Maa Nation as the heart of pulse redeems our blessed cities

Nchi inazidi kuchemka BABA akichomelea koo kwa streets

si right ukicondemn the needful inayotuhusu mimi na wewe

For once tukubali the pure truth

blood kwa ground inatudai na we can only heal ka tutakaa chini Na wengine pia wenye utu watuongoze Wenye Viti wako fine and favourable, blander ni kutumia kifua, politricks na uchumi unatuponda Tupendane jamaa

Hatuwezi grow tukitazamana kama scarecrows na nyani bado zinatuvamia! Mungu ingilia kati tusije zidi angamia !

 

Related posts
Spoken Word

PRA TREE

Spoken Word

Ngeli ya TU

Spoken Word

NA-JUA

Spoken Word

MGALA MUUE...

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *