Spoken Word

Hii Peace

By Poet Denkuz

Hii piece ni ya Kenya
Hii piece ni ya kwanza
For the first time in a long period
Wacha nibonge coz niko na sauti
Sauti ya sanaa
Nimepewa chance na Mr politician
Tangu unishike mkono
Maze nimeona light at the end of the tunnel Sahii nadishi na hii talent
Ata Jana nilisort mokoro akajipanga Enyewe talent pays

Zile shows na events uliniconnect nazo Maze sahii zimejipa
Nakula life na spoon nikijituma more
Juzi bro karibu ainame nikamsort
Enyewe hii siasa imekua a good place to be A very safe space for youths to join

Bado nazidi kuchanua my guys Badala ya crime
Youths tujoin hands tufanye rhymes

Badala ya kupigana
Youths tujoin hands na mapunchlines za kucreate peace

Related posts
Spoken Word

Ukweli Ni

Spoken Word

Let Me Take You Back

Spoken Word

KUJA NIKWAMBIE

Spoken Word

Kenyan Profile

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *