Spoken Word

GOVER NI BLUNDER

GOVER NI BLUNDER

DCI wamelingwa kakitu, so huwezi mripoti uyo mtu
Mengine yataka ubabe , mengine yataka ukurutu
Ndugu ukijifanya mkurutu,utafinywa sehemu nyeti aki a mungu Polisi wamekosa utu vile wanapiga mayouth na rungu
Silaha but eti sio haki kuuliza haki yako
After maandamano akuna msee atatokea
Watapigwa Tu kelele pale FB na twitter
Eti bado mapambano

Mtoto amekosa good health
Nimetoka mazishi ya mwingine
Alikufa malaria na bado babake anapayuka tano tena
Kwa mtaa hakuna hospitali,kuna ingine ilijengwa side za nyumbani Lakina hakuna dawa na madaktari
But who cares , contractor alichukua shares yake akasepa
Gover ni blander
Waliiba Mali ya Uma na kwa koti hawakiri
Sahii nchi Iko Kwa tension after walisunda mangiri
Poor people land sahii Iko habited na pest
Na initiative ya Farmingation imeshindwa kumada hawa pest
Ni haya kucheki plate tulikulia sembe ,sai Iko mounted na dust
Si hii hunger imestrike ni hard kustomach
Gover ni blanda Ka auko rada
Ruto clash yako na rao imefanya tukose Uhuru
Freedom of expression ndio article 19 inaongelea
After kuminimize volume still inasound
Awkward time citizens wanadai kumatch
Forward clockwise na gover inatumatchisha backwards anticlockwise

Gazeti ndio mnasoma venye boychild alidedi Kwa maandamano akifight for justice Ni funny Ka judiciary Iko active then waambieni
Wa-adjust equality Kwa beam balance juu haina justice
Corruption ilianza after kulipa ule msee

Aliandika NATIONAL ANTHEM Kwa Kiswahili Nakufanya interpretation Kwa kizungu
Maskini anajaribu kujituma asife maskini
Na anapolalamika haskizwi Kwa makini Wamekonda wengi they are getting more skinny Hivi mbona mnyonge Hana haki?

#shesia the poet

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *