Spoken Word

Environment Conservation

By Daniel the Poet

Kwa hii fight ya kuconserve environment kila mtu ako in so kwa hii verse naomba mkue keen
Another one from DANIEL THE POET.
Sitaki generation next ikose kitu Cha kujivunia juu matendo yetu sai yanaeza waacha wakilia
so siku ntatulia ni wakati Dunia itajua umuhimu wa mazingira Bora na si Bora mazingira.
Mau eviction si politics I think keriako tobiko alideserve ticks for his move.
Nafeel pain nkiona kwa rain hatuezi gain juu what hits us on skin na plants ni acid rain.
Toxic fumes makampuni zinarelease zinatuacha tukiwa wasick.
Tusipo badili tabia na kumaintain mimea I feel Hadi Ozone layer itakua damaged na direct sun
rays hatutaeza bear.
tukipanda miti hali itakua fiti
cheki vile miti imekatwa si nchi itageuka jangwa.
si nadhani under trees sisi hupata rest na up the trees birds hujenga nest.
wakati mnachoma tyre kwa maandamano don't you know the harm ya iyo Moshi ni stronger
than chuma ya doshi.
kutoka kwa milima hakuna maji inaflow juu miti imekatwa lakini mkikosa mvua mnasuggest
mungu anatupima
kumbuka life ya Eden environment ilikua cool na haikua heaven.
Napiga darubini the future na sioni nkiamini so acha niwaulize maswali naomba mkue makini
hii misitu tunadai kudestroy don't you know ni home ya wanyama mwitu?
samaki mkimwagia maji taka si wataumia ama mnadhani watabaki?

Related posts
Spoken Word

Degree Inaomba Kazi - Palma wa Vasho

Spoken Word

Campos World - Unemployment

Spoken Word

NA EYE

Spoken Word

MAISHA HII

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *