By Maina Meryer
Welcome to my country, place democracy inawork ka ukona ganji Society inafear different
Sinners watakujudge ukisin different
Utakuwa threat ukifanya opposite na patriarchy system
Whatever I decided to do na kitu yangu ya kukojoa, mbona unamake your business??
Elders walidai ni taboo
Religious leaders wakasema niko possessed
Society Waka ni violet in the name of corrective rape Health works wakanifanya topic na kuni discriminate
Kwa polisi siwezi repoti ju kesi yangu haita skizwa kwa koti
Wazazi walinidisown, Sina place to call my own
Kwa LGBTQ person in kenya, government wakafanya ni illegal
Kwa kazi hakukaliki tangu wajue my sexuality, naiishi na baridi na vitisho
Landlord alinihamisha bila kunipea notice
Makanga akanibongesha shit, ju alikuwa anakatia my chic, akijichocha na kujipiga kufua vile anaweza tupatia a proper dick
Welcome to my country, place democracy inawork ka ukona ganji.