Spoken Word

DANIEL TOROITICH ARAP MOI

The nation is crying, for the eagles eye has befallen
Parents are sad , for they fear for their children
Moi ,you were out second president and we are still mourning
Si ukiwa Prezzo life ilikua easy ata kwa machizi
Madem hawangevaa mini ndio wajiuze Kwa wingi
By then tulituma peni na macenti
Shule mastudee ungewaget Kwa wingi juu chance zilikuwa mingi
Chuo kulikuwa kufiti ,juu pia tulikua na kitu inaitwa “maziwa ya nyayo”
Hata morning tungetoka na njaa tulijua mbele tulijua mbele tumbo ingejaa,
Maziwa iliokolea familia most, juu wengi wao walilala njaa at most
Yule farmer aliget job ya kusupply maziwa na Yule studee akapunguza kuzima juu ya njaa, Si ulikua modern at an early age na ukatuletea 8-4-4
Ulielewa struggles za mastudee na maparo,
Ulijua education ndio key ndio maana ikakua key- priority
Umebaki kuwa Eagle, for you are a legend
Your words will always remain with us
Kenya as a nation for Kenya is us

SHESIA THE POET.

Related posts
Spoken Word

Maendeleo

Spoken Word

Story of Violence

Spoken Word

Margaret-Mama

Spoken Word

Dear Mama - IWD 20204

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *