By Campos world.
Blank page
Promises, promises, Promises, promises
Promises, promise, promises, Promises Haziko
Kitabu yangu the first ni blank pages
Hakuna
Kama vile promises zako
Haziko
Poet na pen Kwa corner
Na paper
Hours nimekaa
Na page ni blank
Unajua mbona???
Ni kama izo promises zako
Haziko
Sina motivation
Do you what you said Kwa manifesto
Ongea vizuri na citizens, mambo ikue mseto
Izo promises Haziko
Najionea Tu vituko
Juzi Nimeongea na Jane pia anasema ziii
We're going back to the drawing board
Maybe kung'oa hiyo mti ni tuachane na branches
Tueende Tu Root….
Promises Haziko
Just Enjoy my blank page.