Spoken Word

Barua

BARUA

 

Hello its me hope now umerecover,, vile that day ulikua unanililia ukiniwishia “Rest in peace”

Nakuambia nilifika salama nikamuona maulana na am living in peace .Miaka tano imepita najua ulinisahau but still unanikumbuka sana. Usiworry sana mi niko salama.

Vipi je mama ako poa? Najua nilimuondokea but najua haikua poa .Nampenda sana na nitazidi kumuombea .vile alinililia kwa uchungu akisema niliondoka mapema tena kijana mchanga..

But najua anajua tuliundwa kwa mchanga so kwa mchanga tutarudi juu sikua na budi itabidi amevumilia..

Vile hunifikiriaga sana akiwish I was there .I wish I knew the day ningewaondokea ndo mget prepared.. Am sorry niliondoka bila kuwa notify but still msiworry nataka mjue mi niko fine

Okay usishangae nimerudi kuna life after death ata wale waliowaondokea am so glad we met

So please mjichunge ndo mkue in a proper line Ohh.. before I forget najua siz na mabeste najua wamenimiss sana me too but soon tutaonana..

Vipi Baba hope pia yeye ako salama its a long time kumskia najua pia mimi ananimiss sana..

Nataka mlive life to the fullest but msisahau Maulana amenishow niwaambie mnaeza change its never too late na anawapenda sana..

Huku ni mateso pia waliomkosea Maulana ni machozi tuu wanalia ..usiogope wafunze na umsalimie my Dear pia

Mlearn to Love na msilove to Hate… Okay bye nawapenda sana na remember its never too late….

By: Poet Dee Olach

Related posts
Spoken Word

Nchi ya ahadi

Spoken Word

Swali

Spoken Word

THE MONSTER OF TODAY

Spoken Word

UNITE TO IGNITE

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *