Spoken Word

AJIRA

Naandika hii barua hope aliye juu ataisoma Wala si kuirarua,cause at this point amekataa kumngoja aliye chini.

Before waingie kwa hizo maofisi walituambia wamekuja kutuomba kazi,but sai wale tuliajiri wanazidi kuwa matajiri.

It’s so unfortunate that mwajiri ndio anazidi lemewa na maisha lakini mwajiriwa hafeel pain.

Tumechoka kuskiza vijana wajiajiri,

Itakuaje tunaambiwa tujiajiri,lakini wao ni sisi wanategemea ili tuwapatie kazi kila baado ya miaka Tano,of which in return tumeona wanazidi vunja agano baada ya miaka Tano kuhusu stori na mavijana,Naandika huu waraka juu mavijana wamejituma kama kibaraka

Tumechoka kuskia kazi ni kazi

Pia sisi tupewe izo ofisi na unlike them tutajinunulia makoti za ofisi na si kutumia mali ya uma.

Ukweli ni hawajakula guava Wala hawana mimba but sijui mbn kudeliver promise ya kuongeza kazi huwa inawauma.

Itakuaje money we borrow inaeza buy magari lakini ni wheelbarrow ndio wanatuletea.Mshairi Hana Uhuru ju wao huchagua watu wakuskiza wakiwa na issues.

Itakuaje vijana huwa wa maana time wameshindwa kufulfil tamaa yao ya uongozi,how many times have they called out on streets,ningewaambia kitendawili but ntawatega

Naskia Johnte,alikua depressed juu kulala analala njaa lakini mtu next anasema amelala kifudifudi

Caro akipata ball,alienda kwa kamba na sieti alikuwa anaanika nguo za mtoi,alidai kujihung,all this because wako jobless.

Naandika huu wimbo na uchungu wa comrade alisomeshwa na HELB,lakini papers ako nazo bado hazimhelp,

Tumeona crime inazidi ongezeka,nobody is ready to hear our cry,na hatudai ‘teseka
It’s not a lie nkiwaambia Kuna youth aliwekwa chini na risasi juu alidai kujitoa kwa umaskini.

Tunaskia kuvunja milango juu education is not the key…… Another One from Daniel The Poet

Related posts
Spoken Word

Maendeleo

Spoken Word

Story of Violence

Spoken Word

Margaret-Mama

Spoken Word

Dear Mama - IWD 20204

Sign up for our Newsletter and
stay informed

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *