WritAfrica

VIONGOZI

BY K-BREEZE 

Viongozi tuliwachaguwa muyafute yetu machozi,

We believed in you that for the next five years mutakuwa waokozi,

Mutuokole uchumi na msitishe ufisadi tuwaite wakombozi,

muyashughulikie maswala ya elimu ,usalama afya na jinsia,

Tupate kuyapata maoni,

Yatakayosifia taifa letu Leo,

Na hata siku za usoni.

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Justice Is Just It
M-HONGO Ka-RUSHWA
Mambo si Barabara
IDentity Yetu
I Have Been Dreaming
The Killer Whale

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.