Wanasema corruption imepungua hapa Kenya but ni kama
Ground ni tofauti ni story ya abunuasi
Zenye hushika sana wakichana jaba baze
Utumishi kwa wote ni cash na bribe kwanza
Askari wako busy kazi motto chai kwanza
Kabla gari iende free na excess alafu bado after
Ajali ikitokea wako missing ka kamisi ama
Bibi za makasisi
Ufi sadi haiezi isha tukiishi kama mafisi
Tunalaumu system na shida ni wananchi
Enemy ni corruption
Na ni mi ndio the system
Chukua stand hapa ufisadi tia zii (zii)
Tunapanga line tukingoja mahandouts
Soo na finje tu wanauza rights zao
Labda si rights zao wanauza rights zetu
Ama labda si hao tumeuza rights zetu
Leso na hizo tsho zinafunga macho zao
Labda si macho zao juu zangu pia ni blind
Nilishout mtu wetu juzi juzi tu
na aliiba shamba zetu nikasema asiguze
Ufisadi utukuzwe
Enemy ni corruption
Na ni mi ndio the system
Chukua stand hapa ufisadi tia zii (zii)
Ni ngumu kupinpoint mwizi ama polisi
Kasisi ama jambazi, daktari na mnajisi
Kanisa na dunia zimemix na kumatch
Tunatafuta light but church yote ni dark
Stadium na pulpit sasa zote ni podium
Wanahubiri chuki na siasa za ukabila
bora tu bahasha kwanza si hii ndio ufisadi ama?
Shida main ni sisi tukichange watahisi…