Not just a number in the crowd
but a voice in the system.
Niko kadi…
A small paper,
lakini power yake
inaweza kubadilisha historia.
Wanasema,
“Ni kura moja tu.”
Lakini historia inajua
mapinduzi mengi
yalianza na sauti moja.
Niko kadi…
I carry the future in my pocket,
mfukoni kama coin,
lakini value yake ni nation.
Ju vote si karatasi tu,
ni sauti ya mama sokoni,
ni ndoto ya youth mtaani,
ni kesho ya mtoto ambaye bado hajazaliwa.
Niko kadi…
na sitauza sauti yangu kwa pesa ya leo,
ju kesho ni ghali kuliko mia tano ya campaign.
So when they ask me,
“Bro, why do you care?”
Nitasema polepole lakini kwa nguvu:
“Because niko kadi…
na kura yangu si mchezo.”
Because one vote
can whisper change,
na whisper hiyo
inaweza kuwa kelele ya revolution.
So remember this…
Niko kadi.
Niko na kura.
Na kura yangu… ina nguvu.
