I was guaranteed better health care
Lakini venye better ilichange ikawa bata
Hata mimi bado nawanda
Juu ni mimi mwananchi nilichagua huyo
Akawa chaguo langu
Its true that health is the assuarity of life
Lakini mahali serikali inatupeleka
Imegeuka kuwa asana
For I am not the domain anymore
I am left as a broken vase
With no patching as an optimism plan
The monster grows not from its predator targeting its prey
But the prey on the ground with 100% understanding targeting another prey
Shimmering light in our eyes that all of us can understand
Juu nurse ako busy na phone, akicheka kwa TIKTOK section na miguu juu ya meza
If you have the courage to ask
Jibu ni kama simba amechokozwa
“Kwani sisi si binadamu, hatuwezi choka na kula lunch”
What happened to the nurses shift of half a day
Where the schedule allowed for one person to come and help the ailing while the other takes rest or eats
System iliundwa kuangalia maslahi ya kila msee
Juu no one, absolutely no one wants to be served by a sick nurse
Or risk the others health for their own health benefit
Magonjwa inakua faster than hope
Na madaktari na nurses wanafight na system
Badala ya kuokoa life ya mzee na watoto wenye ni next line generation guided na hawa wazee
From the gate hadi ufike kwa reception point
Naona queue kama elections
Watu wanastuggle na prescriptions
Just to get a service with the hope of being treated
With this appearance
The demand is overwhelming
Yet we are blinded with a system that does not benefit the patients
Greed imekuwa lengo kwa hawa madaktari
Appointment ilikuwa ya saa mbili
Lakini sahi ni saa nne
Mtoto alikuwa ana fever kali
Ochieng naye amekuwa akiendesha toka early morning
Hadi ni kama amefika kericho
Kuulizia tu ndio imebaki ddesign ya
“Tumefika kericho?”
Coming to think of ochieng
Mzae bigi hivi akiendesha bila kushughulikiwa for this long
Si nguvu nikama imedie tayari
If you manage to get the said health service
Then haimalizwi venye inafaa
Daktari atakuangalia na aseme
“Pole sana, lakini dawa zimeisha. Itabidi ununue huku inje kwa pharmacy”
With a written ‘pharmacy of choice recommendation’
Shelf ziko empty kama promises za manifesto
Sisi tumebaki na karatasi za prescription
Kwa mikono kama souvenir za mateso
Wazee wakitetemeka na pressure
Juu ya empty promises za gover
“We are working on it”
Lakini hii mbogi yote iko kwa line
Ni nani ataheal leo?
Pharmacy za private zinacheka juu ziko owned na hawa doctors na nurses
Kwa sababu mgonjwa anauziwa bure kwa serikali
Lakini ananunua kwa bei ya dhahabu mtaani
Juu dawa zinapotea kwa mustuko tu
Corruption itawahi isha lini?
Budget ni millions
Lakini wagonjwa bado wanapona kwa maombi
Ni question tu lakini:
Hii uhai, lazimz iwe tenederd pia?
Ama haki ya kuishi ni luxury kwa maskini?
LOUREEN ALMA
Changing the mindset