Ati mi ni nani?
Mi ni God of Justice
Na napenda nini?
Napenda justice…
Mi ni nani?
Mi ni God of justice
Npenda nini?
Napenda nini?
Napenda justice
Walitamani vineyard ya Naboth but after
Mambo kushindikana waka – mtuma Kwa baba
Ndio wa – baki na shamba na God akajam
Akatuma Elijah enda ushow mfalme
Awache za ovyo
Awache upuzi na wizi wa kimabavu juu
Ananioffend na mi hutoa punishment
Watu warudi line
Juu mi ni God of justice
Ati mi ni nani
Mi ni God of justice
Napenda justice
