WritAfrica

Fake Jamhuri

By Palma Wa Vasho

 

Tulipata Full madaraka on 12th December 1963,

Na since hiyo siku hakuna kitu imechange,

Juu viongozi ni wale wale tabia ni zile zile tu,

Na kitu imechange ni mabuildings tu,

Juu we keep on electing the same leaders,

Over and over again,

I still feel as a slave,

Na sinilidhani tulipata full madaraka,

Kumbe ni ya wenye wako kwa powers,

I don’t believe venye wao hujipenda,

Hawakumbuki the likes of kina Tom Mboya,

Our fore father vile walisacrifice their lives,

For this lands wanaziita their own,

Kitambo tuliishi na love and unity,

Sahi tunaishi na Hate and selfishness,

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

Justice Is Just It
M-HONGO Ka-RUSHWA
Mambo si Barabara
IDentity Yetu
I Have Been Dreaming
The Killer Whale

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.