BY LOUREEN ALMA
I didn’t choose to born here
But due to the demand of my background
I find myself risking the next generation that am suppose to make and create a clan
Today’s steps are not guaranteed
My steps are deprived of a neutral ground
The ground that is not well stable to hold my weight with HOW THIN I AM
.
A bridge should close the existing gap
The gap between two grounds
Eeh, hii ndio governance ya openness
Budget ya millions lakini bridge ni chache kama bahati
Shosh akitry kuwalk through tunafunga macho mbogi yote kumwombea
Juu bridge imeenda ikachoka kumliko
.
Cost ilikuwa millions na tender ikapitishwa kwa speed ya cheetah
Juu ya connection
Lakini truth ni skeleton ya sarakasi
Hata opening ceremony ya ballons na ribbons kukatwa
Na smiles za camera hazikufika
Juu the contractor was not even known
Na hii ndio ingtekuwa the only platform ya kushout
“Hizi ni ufala MY G”
.
Why do we clap for leaders an show up in rallys in numbers kuskiza hakuna
While our every step of crossing the bridge is not guaranteed
Why, tenders zikitolewa for machines and the highest known back giver
“Rudisha Mkono”
Lakini bridge inakaa imesurvive war ya ancient history
.
Bridge ya millions – Awaya Mbita
Roho zetu ni kama millions imeibiwa
Juu hizi roho ziko mikononi tukivuka hii bridge
Kwani maendeleo ni photo-op?
Coz tender ndio bridge halisi
Ni bridge ya ahadi tu – si ya maisha
.
The way inatetemeka kama version ya msee amekosa chakula for days
Juu ya mvua mbili tu iliipiga
Tukawa tunaomba daily tukivuka
“God kindly protect your child, leo isinguke na mimi”
Ukweli ni ground
Wenye tuko ndio tunaumia
Kuenda kazi ni maombi
Watoto pia wanaenda shuleni wakiwa na life insuarance ya maombi
Na boda boda zinacheka kwa machozi
“Bora ni ongeze tax kwa kubuy fuel most kuliko hii mchezo ya sarakasi na millions”
Just to go the long route and protect their lives
.
Swali langu ni moja:
Tutakuwa kwa hofu milele
Ama tutaijenga heshima kwa kizazi kijacho?
Ama tujijengee pekee yetu baada ya kulipa hii ushuru yote?
.
Msee, hii system tutaiheal aje?
Ama tongoje next election na vitu zije ziwe same
Kama kawaida
Na roho mikononi plus maombi
LOUREEN ALMA
Changing the mindset