Our economy will be better with minimal
Or even much better zero corruption
Tunasema hii story Kwa mdomo
But kwa moyo tuna history
Ya kunyang’anya, kunyanyasa
Na kudanganya watu tukikusanya
Mali ya uma Kwa mifuko zetu
Chunga, chunga uta-kujiwa ukibonga
Vitisho baridi wananipasha
There is no rest for the wicked
Umenyamaza kwa nini
We got no love for the thieves
Unapenda wezi kwanini?
Na kila jumapili uko busy kanisani
Ukitoa testimony maze ni God tu
Chunga sana juu Yesu unayeita
Alichapa wezi nyahunyo unyounyo
Kwa hekalu
We pia utachapwa tukilia haki yetu
You can do much better ukirudisha mali yetu
You can do much greater ukilinda nchi yetu
You can do much better ukilinda mali yetu
Kenya nchi yangu, tuko na Kila kitu
Ufisadi tu ndio shida ya nchi yetu, kwisha
