WritAfrica

By Imani Freystar 

Huku mtaani, vijana wengi tuko leaderless, tribless na bado tuko jobless.

Aki jamani Jah Bless.

Tuko desperate, desperate for good lives,

But nganji, nganji haimwok;

Juu hatuna places za kuwork.

Kazi ni kuwalk.

Kazi ni kutafuta kazi,

Iyo ndo kazi tumejiajiri,

Juu hawaki kutuajiri.

Na hatuna capital ya self employment.

Dream ni kuwa invincible but in those offices tuko invisible; hawatuoni.

“We’ll call you back” ndo the last call we receive from them.

CV Iko blank, three years after graduation na bado sina work experience!

But nitatoa wapi na most offices hire those with 3 years experience? 

Kazi mtaani, hiyo nayo nilikosa connection. 

Saa hii Niko mtaani, simu mkononi,

Looking for any public WiFi connection,

Nipost hii piece Nione kama itaenda viral,

Hoping itaguza someone aniajiri,

Hata kama ataniajiri nim_market.

The Midnight Star

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

You Know We are Kin, I and You
The People’s Peace
Siasa Ya ID
UFISADI TIA  ZII
HEALTH SERVICE CHRONICLES
Protest is Not A Crime - Article 37

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.