WritAfrica

JIONGELEE SPOKEN WORD 

By Frankline Barasa.

Its a free country so JIONGELEE,

So by the black and white and red and green let the people have peace cause you know what,

This is our flag our clean right to brag,

Tuko na land and not only land but a free land by the scar’s we have inside,

Si hii ndio nchi tulipigania, sorry, walipigania ndio tukue maresident wa free country so sioni why until now I still feel the need to cry, “free the country!” But still I take my stand and exercise democracy so “free the country,”

If you still think Im joking, Remember it’s still a free country so JIONGELEE…

By blood tulipata place ya kuweka shade, Ndio after hustle ya kujenga taifa letu tujilaze pema, but pepo-ni nani,

Aliingia ndani tukiwa usingizi so amkeni ndugu zetu,

There’s no way tutabaki tulivyo so take up your rights, tujiongelee na tusonge mbele kaa msusi na nywele, don’t just fight for rights stand up and make things right 

Yet if you still think Im joking, Remember it’s a free country so JIONGELEE.

Amani haiji ila kwa ncha ya upanga, tutakufa tulivyo wakisema watatupanga, 

So grab what you have be it a song,

Be it a phone, Bora inawezapass the word na useme,”Nchi yetu ya Kenya tunayoipenda. Tuko tayari kuilinda.” Turn up your volumes na msijisupress juu fom ni kujiexpress.

So tujiexpress express ndio tujijenge tusijisupress.

Na kaa unadhani hii ni jaba just Remember it’s a free country ‘so JIONGELEE.’

Safari ni ndefu na tumesongeza  Inchi  so tu turn hii ‘Inchi’ ikue  distance ya maili milioni between sisi na ubinafsi. Na kaa unadhani hii ni jaba just Remember it’s a free country so JIONGELEE.

But get me right, hii sii verse ya kuincite so think,

The sword of the spirit is the word so sword is a symbol for any tool unaezatumia kujenga hii Nchi,

So weka stress kando vaa overall tuanze kujijenga block by block, Tubomoe vices tuweke virtues in their stead,

Remember they said yes we can and I say together,  we ‘can’ the corrupt, unjust and loveless tuwaship to the farthest planet from the earth, tuflip hii equation right side up, ama venye hao huiona – upside down,

Na together tusimame kidete na tu’songe’ mbele kaa msusi na nywele.

But kaa hujaget usistress juu Remember it’s a free country so JIONGELEE.

So tukirudi kwa flag.

Wengine wao walidhani black is for their hearts na juu white inamean peace, fom daily ni kutusuka.

Wakaskia green ni ya majani,  so till  lately ni story za jaba, za kututeka,

Wakadhani red ni ya wine, so fom ni kujienjoy bila kutujali, na wakitujali trust me ni ajali,

Na I guess keja zao wao hununua forks juu vile waliiget, hii mali ni ya umma.

But let me re-educate everyone who cares to listen on the meaning of our flag. So mumber one Black is for the people, Na tujiite Simba juu sisi ndio the pride of our land,

White for peace, so wageni feel at home juu nyote mwakaribishwa,

Green ni ya vegetation and the sign of our life within,

Na Red ni ya damu, that’s why me ni Mkenya damu.

So now as always I turn my back kwa ubinafsi and take the chance kukuremind that it’s by love that you came to be–nafsi.

So I call on you to turn the world upside down ndio by the grace of gravity tudrop kila vice inatukatsia.

Na nikimada nasemaa, eh Mungu nguvu yetu, Ilete baraka kwetu.

Na kaa unadhani hii ni jaba just remember it’s a free country so JIONGELEE.

Tags:

No tags assigned to this post.

Related Posts

Top Categories

Trending News

You Know We are Kin, I and You
The People’s Peace
Siasa Ya ID
UFISADI TIA  ZII
HEALTH SERVICE CHRONICLES
Protest is Not A Crime - Article 37

Subscribe to Our Newsletter

Join our vibrant community of young poets, writers, and illustrators.