By COLLINES OCHIENG (Amelia Collines)
Tuliuziwa idea ya democracy is a good thing
Which is true but underneath it
Terrible people rose to power
Bad ideas came to life, greed became their game
Oppression became their goal and for sure
Kama Mohamed Salah hao ndio top scorers
Wametuchenga sisi the democrats
Demokrasia imegeuzwa ghasia.
Kama maji kwenye mtungi sitatulia
Juu the world is spinning in the wrong direction instead of right
Kama network ya 2G we the people
Hatuna good connection with the government
The rule of the people for the people and by the people
Imekuwa turned against the people
Lincoln angekuwa alive angechange hiyo definition
Juu sai it’s nothing but just a statement in history books
Inclusivity waliacha sai wanamake their own decisions
Kwa kweli demokrasia imegeuzwa ghasia.
Listen, listen keenly
Unasikia, unasikia kile ambacho ninasikia
Juu ninasikia sauti ya raia akilia
Aliambiwa voting is her democratic right
But right now kila kitu iko wrong
That is why sai analia because anaumia
Exercise your democratic right
Vote for a leader who is right alisisitiziwa
Baada ya voting elections were rigged
Kwa kweli demokrasia imegeuzwa ghasia
Baada ya uchaguzi ni ghasia
Leo imekuwa Kenya kesho Mozambique
Venezuela, Malawi na hata Benin
Those are just few countries that have suffered
Because of exercising their democratic right
Insecurity imetanda kote ulimwenguni
kwasababu ya democratic decisions kuna discrimination
joblessness even poverty
hii siwezi chukulia lightly juu ni heavy kushinda El Nino
Kwa kweli demokrasia imegeuzwa ghasia
The minority have been forgotten
What they sold to them they have taken
Walituambia democracy is a table
Where every chair has a voice
Yet wengi wetu our plates are empty
Na viti zimekuwa glued to the floor
Ndio tusirise to oppose them
Hii world imekuwa turned upside down
Just like that in the name of democracy
Kwa kweli demokrasia imegeuzwa ghasia
Sai democracy is not clarity
Lakini ni silaha inabebwa na those in authority
They twist it and make us think we chose this willingly
But wanafanya hivyo to serve their own interest na si humanity
Listen sote tuko na responsibility
Responsibility to the majority and the minority without any inequity
Let’s build humanity and restore our dignity
Democracy isitumike kutugawanya but ilete
Unity, diversity na hata clarity
Ndio tupendane vile napenda Charity
Kwa kweli demokrasia imegeuzwa ghasia.
End.
I want to wish you all a happy international world democracy day.